Ufafanuzi msingi wa shauri katika Kiswahili

: shauri1shauri2

shauri1

nominoPlural mashauri

 • 1

  jambo, agh. linalohitaji kuzungumzwa au kujadiliwa na kutolewa uamuzi.

  neno, jambo, masa, kusudio, kesi

 • 2

  ‘Unanipa shauri gani juu ya matatizo niliyo nayo?’
  maoni, rai, nasaha

Asili

Kar

Matamshi

shauri

/∫awuri/

Ufafanuzi msingi wa shauri katika Kiswahili

: shauri1shauri2

shauri2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa maoni au nasaha.

  ‘Nimekueleza yaliyonifika, sasa unanishauri nifanyeje?’

Asili

Kar

Matamshi

shauri

/∫awuri/