Ufafanuzi wa shazasi katika Kiswahili

shazasi

nominoPlural shazasi

  • 1

    dawa yenye harufu kali na ambayo hutumiwa kwa kumnusisha mtu aliyezirai ili apate fahamu tena.

Asili

Kar

Matamshi

shazasi

/∫azasi/