Ufafanuzi wa sheha katika Kiswahili

sheha

nominoPlural masheha

  • 1

    mtu aliyechaguliwa kuwa kiongozi wa jamii yake kulingana na mila za Waswahili.

  • 2

    mzee au mkubwa wa kijiji au chama.

Asili

Kar

Matamshi

sheha

/∫ɛha/