Ufafanuzi wa shehena katika Kiswahili

shehena

nomino

  • 1

    mizigo iliyomo ndani ya chombo cha kusafiria k.v. jahazi, lori au ndege.

    kiinikizo, farumu

Asili

Kar

Matamshi

shehena

/∫ɛhɛna/