Ufafanuzi wa sheheni katika Kiswahili

sheheni

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    jaza tele; pakia mizigo ndani ya lori, behewa, jahazi, n.k..

  • 2

    jaa tele.

    ‘Jahazi limesheheni’

Asili

Kar

Matamshi

sheheni

/∫ɛhɛni/