Ufafanuzi wa shemasi katika Kiswahili

shemasi

nominoPlural mashemasi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwanafunzi wa upadri ambaye anakaribia kumaliza mafunzo yake.

Asili

Kar

Matamshi

shemasi

/∫ɛmasi/