Ufafanuzi wa shemeji katika Kiswahili

shemeji

nominoPlural memeji

  • 1

    ndugu au rafiki wa mke.

  • 2

    ndugu au rafiki wa kiume wa mume.

Matamshi

shemeji

/∫ɛmɛʄi/