Ufafanuzi wa sherehi katika Kiswahili

sherehi

kitenzi elekezi

  • 1

    toa ufafanuzi.

    fafanua

Matamshi

sherehi

/∫ɛrɛhi/