Ufafanuzi wa sheria katika Kiswahili

sheria, sharia

nominoPlural sheria

Kidini
  • 1

    Kidini
    kanuni zinazoendesha taratibu za maisha ya waumini wa dini fulani na ambazo zinasadikiwa zinatoka kwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

sheria

/∫ɛrija/