Ufafanuzi wa shibana katika Kiswahili

shibana

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na uhusiano wa karibu sana wa kuaminiana na rafiki au ndugu.

    ‘Marafiki hawa wameshibana’

Asili

Kar

Matamshi

shibana

/∫ibana/