Ufafanuzi wa shibe katika Kiswahili

shibe

nominoPlural shibe

  • 1

    kujaa kwa tumbo baada ya kula au kunywa kwa wingi.

    ‘Nimekula shibe yangu’
    methali ‘Shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza’

Asili

Kar

Matamshi

shibe

/∫ibɛ/