Ufafanuzi wa shibisha katika Kiswahili

shibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya mtu ashibe.

    ‘Ugali unashibisha sana’

  • 2

    tosheleza

Asili

Kar

Matamshi

shibisha

/∫ibi∫a/