Ufafanuzi wa shifta katika Kiswahili

shifta

nomino

  • 1

    jambazi, agh. wa Kaskazini Mashariki ya Kenya mpakani na Somalia.

    haramia

Matamshi

shifta

/∫ifta/