Ufafanuzi wa shika sikio katika Kiswahili

shika sikio

nahau

  • 1

    ambia mtu maneno ya nasaha ili aache jambo linaloweza kusababisha madhara.