Ufafanuzi wa shikilia katika Kiswahili

shikilia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    shika k.v. mahali kwa nguvu.

    ‘Shikilia kiguzoni au utaanguka’

  • 2

    ‘Akishikilia jambo lake huwa ni hilohilo’
    ng’ang’ania, chachamaa

Matamshi

shikilia

/∫ikilija/