Ufafanuzi wa Shikwa na gogoo katika Kiswahili

Shikwa na gogoo

nahau

  • 1

    hali ya mume kumpenda mke aliyemwacha au mke kumpenda mume aliyemwacha.