Ufafanuzi wa shimali katika Kiswahili

shimali

nominoPlural shimali

  • 1

    upande wa kaskazini.

    kibla

  • 2

    upande wa kushoto.

Asili

Kar

Matamshi

shimali

/∫imali/