Ufafanuzi wa shimo katika Kiswahili

shimo

nominoPlural mashimo

  • 1

    uwazi mkubwa, agh. wa duara, uliochimbwa au kuchimbika kwendea chini au ndani ardhini.

    ‘Watu wameshauriwa na Bwana Afya kuchimba mashimo ya taka’
    genge, tobo, tobwe

Matamshi

shimo

/∫imɔ/