Ufafanuzi msingi wa shina katika Kiswahili

: shina1shina2

shina1

nominoPlural mashina

  • 1

    sehemu ya mti iliyoko nje ya ardhi na inayoanzia kutoka juu ya mizizi mpaka karibu na matawi.

Matamshi

shina

/∫ina/

Ufafanuzi msingi wa shina katika Kiswahili

: shina1shina2

shina2

nominoPlural mashina

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sehemu ya neno yenye mzizi na viambishi.

Matamshi

shina

/∫ina/