Ufafanuzi wa shindani katika Kiswahili

shindani

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kushindana.

    ‘Mtu huyu ni mshindani sana, kila aambiwalo hakubali’
    kinzani, kaidi, bishi, katavu, shupavu

Matamshi

shindani

/∫indani/