Ufafanuzi wa shindikana katika Kiswahili

shindikana

kitenzi elekezi

  • 1

    kutoweza kufanyika kwa jambo.

    ‘Juhudi za kupatia kila mtu kazi zimeshindikana’

Matamshi

shindikana

/∫indikana/