Ufafanuzi wa shingo katika Kiswahili

shingo

nominoPlural shingo

  • 1

    sehemu ya mwili inayounganisha kichwa na sehemu nyingine za mwili.

  • 2

    sehemu yoyote nyembamba iliyoko baina ya vitu.

Matamshi

shingo

/∫ingɔ/