Ufafanuzi wa shinikizo katika Kiswahili

shinikizo

nominoPlural mashinikizo, Plural shinikizo

  • 1

    hali ya kubinya kwa nguvu au uzito.

  • 2

    nguvu inayotokana na uzito.

  • 3

    hali ya kumbana mtu, shirika au serikali ili jambo fulani lifanyike.

Matamshi

shinikizo

/∫inikizɔ/