Ufafanuzi wa shirikiana katika Kiswahili

shirikiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya shughuli pamoja.

    changamana, fungamana, tangamana

Asili

Kar

Matamshi

shirikiana

/∫irikijana/