Ufafanuzi wa shisha katika Kiswahili

shisha

nominoPlural shisha

kizamani
  • 1

    kizamani chombo maalumu kilichotengenezwa kwa kioo na kinachofanana na chupa yenye mchanga ndani, ambacho kilitumiwa kupimia wakati.

Asili

Kar

Matamshi

shisha

/∫i∫a/