Ufafanuzi wa shitadi katika Kiswahili

shitadi

kitenzi sielekezi

 • 1

  endelea kutendeka kwa nguvu bila ya kupungua.

  ‘Mvua imeshitadi’

 • 2

  endelea bila ya kuacha.

  ‘Vitendo vyake viovu vimeshitadi’
  zidi, ongezeka

Matamshi

shitadi

/∫itadi/