Ufafanuzi wa shiti katika Kiswahili

shiti

nominoPlural mashiti

  • 1

    pande kubwa la kitambaa lililokatwa kutoka kwenye jora na hutumika kwa kutandika mahali k.v. kitandani au kwa kuvaa.

    shuka, gandi, mgololi

Asili

Kng

Matamshi

shiti

/∫iti/