Ufafanuzi wa shombo katika Kiswahili

shombo

nominoPlural shombo

  • 1

    harufu anayokuwa nayo samaki baada ya kuvuliwa.

    vumba

Matamshi

shombo

/∫ɔmbɔ/