Ufafanuzi wa shomvi katika Kiswahili

shomvi

nomino

kizamani
  • 1

    kizamani mtawala wa jadi katika eneo mojawapo nchini Tanzania.

Matamshi

shomvi

/∫ɔmvi/