Ufafanuzi wa shonana katika Kiswahili

shonana

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaa tele, agh. watu au vitu, bila ya kuwako nafasi.

    ‘Msitu umeshonana’
    ‘Watu wameshonana’
    ‘Magari yameshonana’

Matamshi

shonana

/∫ɔnana/