Ufafanuzi wa shonde katika Kiswahili

shonde

nominoPlural mashonde

  • 1

    fungu la mavi ya mtu au mnyama; kimba la mavi.

Matamshi

shonde

/∫ɔndɛ/