Ufafanuzi wa shonoa katika Kiswahili

shonoa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa uzi uliounganisha vitu vilivyoshonwa.

    fumua

Matamshi

shonoa

/∫ɔnɔwa/