Ufafanuzi wa shoro katika Kiswahili

shoro

kielezi

  • 1

    kwa namna isiyofaulu.

    ‘Mambo yangu yananiendea shoro’
    kombo, shoto

Matamshi

shoro

/∫ɔrɔ/