Ufafanuzi msingi wa shoti katika Kiswahili

: shoti1shoti2shoti3

shoti1

kielezi

 • 1

  kwa kasi.

Asili

Kar

Matamshi

shoti

/∫ɔti/

Ufafanuzi msingi wa shoti katika Kiswahili

: shoti1shoti2shoti3

shoti2

nominoPlural shoti

 • 1

  hasara au upungufu katika biashara.

  ‘Leo nimepata shoti ya shilingi hamsini’

Asili

Kng

Matamshi

shoti

/∫ɔti/

Ufafanuzi msingi wa shoti katika Kiswahili

: shoti1shoti2shoti3

shoti3

nominoPlural shoti

 • 1

  hitilafu hasa ya umeme inayotokana na nyaya zenye kupitisha umeme.

Matamshi

shoti

/∫ɔti/