Ufafanuzi msingi wa shubiri katika Kiswahili

: shubiri1shubiri2

shubiri1

nominoPlural shubiri

  • 1

    kipimo cha urefu kutoka kidole gumba hadi cha kati, kiasi cha inchi tisa.

    futuri

Matamshi

shubiri

/∫ubiri/

Ufafanuzi msingi wa shubiri katika Kiswahili

: shubiri1shubiri2

shubiri2

nominoPlural shubiri

  • 1

    utomvu mchungu unaotokana na mshubiri ambao hutumiwa kuwa ni dawa, agh. ya tumbo.

Asili

Kar

Matamshi

shubiri

/∫ubiri/