Ufafanuzi wa shughulika! katika Kiswahili

shughulika!

kiingizi

  • 1

    amri katika jeshi la kuangalia upande wa kulia, kwenda hatua moja mbele na kisha kurudi nyuma kwa kupigapiga miguu ili kurudi katika mstari na kuhakikisha kuwa mstari umenyoka sawasawa, wakati wa mafunzo ya gwaride.

Asili

Kar

Matamshi

shughulika!

/∫uɚulika/