Ufafanuzi wa shuke katika Kiswahili

shuke, suke

nominoPlural mashuke

  • 1

    mkusanyiko wa vikonyo vya nafaka k.v. mtama, ngano, mpunga, n.k..

  • 2

    shazi la nafaka.

    chane

Matamshi

shuke

/∫ukɛ/