Ufafanuzi wa shumburere katika Kiswahili

shumburere

nomino

  • 1

    kofia kubwa na pana ambayo hufumwa au kusukwa kwa ukindu au miyaa.

Asili

Kre

Matamshi

shumburere

/∫umburɛrɛ/