Ufafanuzi wa shundi katika Kiswahili

shundi

nominoPlural shundi

  • 1

    ndege mwenye mkia mpana mweusi, mabawa ya kahawia, mistari ya njano hafifu shingoni hadi tumboni, na mstari wa njano hafifu juu ya jicho.

    dudumizi, tipitipi, gude

Matamshi

shundi

/∫undi/