Ufafanuzi wa shungi katika Kiswahili

shungi

nomino

  • 1

    nywele ndefu au manyoya yaliyotokeza mbele ya kichwa cha mtu au ndege.

    bwenzi

Asili

Kar

Matamshi

shungi

/∫ungi/