Ufafanuzi wa shuo katika Kiswahili

shuo

nominoPlural shuo

  • 1

    neno linalotumika kuelezea hali ya kuweza au kutoweza kufanya jambo.

    ‘Amekuja hapa tukamweleza shida yetu, lakini hakuwa na shuo’

Matamshi

shuo

/∫uwɔ/