Ufafanuzi wa shupi katika Kiswahili

shupi

nominoPlural mashupi

  • 1

    kapu la miyaa lililosukwa kwa ajili ya matumizi ya muda.

Matamshi

shupi

/∫upi/