Ufafanuzi msingi wa shuru katika Kiswahili

: shuru1shuru2

shuru1

nominoPlural shuru

  • 1

    aina ya mshono katika darizi.

Matamshi

shuru

/∫uru/

Ufafanuzi msingi wa shuru katika Kiswahili

: shuru1shuru2

shuru2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shona kwa kushikiza; piga bandi.

Matamshi

shuru

/∫uru/