Ufafanuzi wa shuti katika Kiswahili

shuti

nomino

  • 1

    pigo la mpira kwa teke.

Asili

Kng

Matamshi

shuti

/∫uti/