Ufafanuzi wa shwari katika Kiswahili

shwari

kivumishi

  • 1

    -enye kutokuwa na ghasia au mtukutiko; -enye kutulia.

    kete, tulivu, mwanana

Asili

Kar

Matamshi

shwari

/∫wari/