Ufafanuzi wa siagi katika Kiswahili

siagi

nominoPlural siagi

  • 1

    mafuta yaliyoganda yanayotengenezwa kutokana na maziwa ya wanyama k.v. ng’ombe, nyati au ngamia, ambayo hutumiwa agh. kwa kupaka katika mikate ya boflo na kukaangia vyakula.

Asili

Kar

Matamshi

siagi

/sijagi/