Ufafanuzi msingi wa sifa katika Kiswahili

: sifa1sifa2sifa3

sifa1

nominoPlural sifa

 • 1

  mafuta yanayotokana na samaki k.v. papa au nguru na ambayo hutumiwa sana kupaka kwenye chombo k.v. jahazi au ngalawa ili wadudu wasikitoboe na kukila.

Asili

Kar

Matamshi

sifa

/sifa/

Ufafanuzi msingi wa sifa katika Kiswahili

: sifa1sifa2sifa3

sifa2

nominoPlural sifa

 • 1

  uzuri au ubaya wa mtu au kitu.

  ‘Kila mgombea aeleze sifa zake’
  hamdi

Asili

Kar

Matamshi

sifa

/sifa/

Ufafanuzi msingi wa sifa katika Kiswahili

: sifa1sifa2sifa3

sifa3

nominoPlural sifa

 • 1

  taarifa ya kitu au jambo fulani.

Matamshi

sifa

/sifa/