Ufafanuzi wa sifauwili katika Kiswahili

sifauwili

nominoPlural sifauwili

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sifa zenye kukinzana, kiasi cha sifa moja ikiwepo, nyingine haiwezi kuwapo.

Matamshi

sifauwili

/sifauwili/