Ufafanuzi wa sifia katika Kiswahili

sifia

kitenzi elekezi

  • 1

    toa sifa kuhusu mtu, jambo au kitu.

Matamshi

sifia

/sifija/