Ufafanuzi wa sigara katika Kiswahili

sigara

nominoPlural sigara

  • 1

    kitu cha kuvuta cha uraibu kinachotengenezwa kwa tumbaku na kusokotwa katika karatasi ya aina maalumu, chenye umbo refu na la mviringo.

Asili

Kng

Matamshi

sigara

/sigara/